Waziri Mkuu, Mhe. Kassim
Majaliwa akiangalia utengenezaji wa dawa za binadamu alipotembelea kwanda cha
Belmedpreparaty kilichopo Minsk nchini Belarusi Julai 22, 2023. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu).

Majaliwa akitazama matrekta na zana mbalimbali za kilimo alipotembelea kiwanda
cha Minsk Tractor Plant kinachotengeneza
matrekta na mitambo ya kisasa ya zana za kilimo akiwa katika ziara ya kikazi nchini Belarus Julai 22, 2025.
Kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Cosato Chumi. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim
Majaliwa akitazama matrekta na zana mbalimbali za kilimo alipotembelea kiwanda
cha Minsk Tractor Plant
kinachotengeneza mitambo na zana
za kilimo akiwa katika ziara ya kikazi nchini Belarus Julai 22, 2025.
Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Cosato
Chumi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

0 Maoni