Waziri Mkuu Mhe. Kassim
Majaliwa leo Julai 25,2025 ametembelea ubalozi wa Tanzania, Muungano wa Falme
za Kiarabu (UAE) uliopo Abudhabi.
Mhe. Majaliwa alipokelewa
na Balozi wa Tanzania UAE Luteni
Jenerali Mstaafu,Yacub Mohmed na watumishi wa ubalozi huo.
0 Maoni