Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akishiriki maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika uwanja wa Mashujaa, Mtumba
Jijini Dodoma leo, tarehe 25 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka
mkuki na ngao wakati aliposhiriki maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika uwanja
wa Mashujaa, Mtumba Jijini Dodoma leo, tarehe 25 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Viongozi mbalimbali
wakiwa kwenye Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa katika uwanja wa
Mashujaa Mtumba Jijini Dodoma tarehe 25 Julai, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa katika uwanja wa Mashujaa Mtumba Jijini Dodoma tarehe 25 Julai, 2025.
0 Maoni