Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa
kama ishara ya kuweka jiwe la msingi na kukata utepe ufunguzi wa Kanisa la
Arise and Shine, Kawe Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe akiwa na viongozi mbalimbali kama ishara ya ufunguzi
wa Kanisa la Arise and Shine, Kawe Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan na viongozi
mbalimbali wakipiga makofi baada ya kusogeza kitambaa kama ishara ya kuweka
jiwe la msingi na kukata utepe Ufunguzi wa Kanisa la Arise and Shine, Kawe
Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na
Mtume Boniface Mwamposa mara baada ya kuwasili katika ufunguzi Kanisa la Arise
and Shine, Kawe Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Waumini
wa kanisa la Arise and Shine alipowasili
katika hafla ya ufunguzi wa Kanisa la Arise and Shine, Kawe Jijini Dar es Salaam.
Waumini mbalimbali
wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kanisa Arise and Shine ambapo Mgeni rasmi
alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu
Hassan, Kawe Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada
ya Kufungua Kanisa la Arise and Shine,
Kawe Jijini Dar es Salaam.
Viongozi mbalimbali
wa wadini na serikali wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kanisa Arise and Shine
ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kawe Jijini Dar es Salaam.
0 Maoni