WAZIRI MKUU Kassim
Majaliwa leo Juni 24, 2025 amezindua mitambo ya uchorongaji na vifaa vya
utafiti kwa wachimbaji wadogo kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)
katika hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Jakaya
Kikwete jijini Dodoma.
Utoaji wa mitambo
hiyo ni utekelezaji wa maono na msukumo wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika
kuwawezesha wachimbaji wadogo kutokana na mchango wao katika kuzalisha ajira,
kuboresha kipato cha mtu mmoja mmoja na kukuza uchumi wa Taifa.
Waziri Mkuu wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizindua Mitambo ya Wachimbaji
Wadogo na Vitendea Kazi vya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) katika hafla
inayofanyika leo Juni 24 , 2025 jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizindua Mitambo ya Wachimbaji Wadogo na Vitendea Kazi vya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) katika hafla inayofanyika leo Juni 24 , 2025 jijini Dodoma.
0 Maoni