Mkeka wa Rais Samia uliogusa kila kona

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali, ambao umewaacha baadhi wa wakuu wa Mikoa akiwamo Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo.








Chapisha Maoni

0 Maoni