Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akizungumza na Balozi wa Angola aliyemaliza muda wake nchini, Sandro
Agostinho de Oliveira, Juni 28, 2025 jijini Dodoma. Mheshimiwa Majaliwa
amekutana na kumuaga balozi de Oliveira kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu
Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Angola aliyemaliza muda wake
nchini, Sandro Agostinho de Oliveira, Juni 28, 2025 jijini Dodoma. Mheshimiwa
Majaliwa amekutana na kumuaga balozi de Oliveira kwa niaba ya Rais Dkt. Samia
Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akisalimiana na Balozi wa
Angola aliyemaliza muda wake nchini, Sandro Agostinho de Oliveira, Juni 28,
2025 jijini Dodoma. Mheshimiwa Majaliwa amekutana na kumuaga balozi de Oliveira
kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



0 Maoni