Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji
Butimba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025. mradi huu wa maji una uwezo wa
kuzalisha maji lita milioni 48 kwa siku na hivyo kupunguza changamoto ya
upatikanaji wa huduma ya maji katika Jiji la Mwanza kwa kuwanufaisha wakazi wa
wapatao 450,000 katika maeneo ya Nyegezi, Mkolani, Buhongwa, Lwanhima,
Fumagila, Sahwa, Igoma, Kishiri na Nyamhongolo.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuashiria
uzinduzi wa mradi wa maji wa Butimba
mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025. mradi huu wa maji una uwezo wa kuzalisha maji
lita milioni 48 kwa siku na hivyo kupunguza changamoto ya upatikanaji wa huduma
ya maji katika Jiji la Mwanza kwa kuwanufaisha wakazi wa wapatao 450,000 katika
maeneo ya Nyegezi, Mkolani, Buhongwa, Lwanhima, Fumagila, Sahwa, Igoma, Kishiri
na Nyamhongolo.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu
mradi wa maji wa Butimba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025. mradi huu wa maji
una uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 48 kwa siku na hivyo kupunguza
changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Jiji la Mwanza kwa
kuwanufaisha wakazi wa wapatao 450,000 katika maeneo ya Nyegezi, Mkolani,
Buhongwa, Lwanhima, Fumagila, Sahwa, Igoma, Kishiri na Nyamhongolo.
Matukio mbalimbali
wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji wa Butimba mkoani Mwanza
tarehe 20 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi
mara baada ya kuzindua mradi wa maji wa Butimba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni,
2025.
Matukio mbalimbali
wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji wa Butimba mkoani Mwanza
tarehe 20 Juni, 2025.
Taswira ya chanzo cha
maji Butimba pamoja na Mtambo wa kutibu maji katika eneo la Butimba mkoani
Mwanza. Mradi huo wa maji Butimba umezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 20 Juni, 2025.







0 Maoni