Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Peter
Lawrence Makenga Msoffe kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais
(Mazingira) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28
Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhandisi Athumani Juma Kilundumya kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo (Umwagiliaji na Zana za Kilimo) kwenye hafla kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Beno Morris Malisa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jabiri Omari Makame kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.






0 Maoni