Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Kituo cha
Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora kujionea shughuli mbalimbali za
kabila la Wasukuma, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.

Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa kwenye kiti
cha Kitemi mara baada ya kutembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya
Wasukuma Bujora, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa kwenye kiti cha Kitemi mara baada ya kutembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.
Matukio mbalimbali
wakati wa Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya Ziwa lililofanyika katika
uwanja wa Bujora, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.
0 Maoni