Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza
la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
tarehe 22 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza
la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
tarehe 22 Juni, 2025.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwasili Ikulu
Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha Baraza la Mawaziri
tarehe 22 Juni, 2025.
Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiwasili Ikulu Jijini
Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha Baraza la Mawaziri
tarehe 22 Juni, 2025.
Mawaziri, Makatibu
Wakuu pamoja na viongozi wengine wakiwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa
ajili ya kuhudhuria Kikao cha Baraza la Mawaziri tarehe 22 Juni, 2025.
0 Maoni