Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa
Msumbiji katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri hiyo,
ikiwa ni mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco Chapo.
Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo, tarehe 25 Juni
2025.

Matukio mbalimbali
wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri hiyo, ikiwa ni
mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco Chapo. Sherehe hizi
zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo,
tarehe 25 Juni 2025.

0 Maoni