Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akiongoza Kikao cha 13 cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kwenye
ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Juni 25, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza
Kikao cha 13 cha Kamati Kuu ya Taifa ya
Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka. 2022 kwenye ukumbi wa Hazina jijini
Dodoma, Juni 25, 2025. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,
Bunge na Uratibu, William Lukuvi na kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu
wa Pili wa Rais Zanzibar, Hamza Hassan Juma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Makatibu Wakuu kwenye viwanja vya Ofisi ya Hazina baada ya
kuongoza Kikao cha 13 cha Kamati Kuu ya
Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka. 2022 kwenye ukumbi wa Hazina jijini
Dodoma, Juni 25, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



0 Maoni