Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la kuwapo kwa vipindi vifupi vya upepo mkali unaofikia Kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia Mita 2 vinatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa Pwani ya Bahari ya Hindi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.
0 Maoni