Mwenyekiti wa Chama
Cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia
Suluhu Hassan na Meza kuu wakiimba Wimbo wa Taifa wakati wa Mkutano Mkuu
Maalumu wa CCM Taifa uliofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete JKCC
Mkoani Dodoma leo Machi 29,2025.
0 Maoni