Waziri wa nchi Ofisi
ya Makamu wa Rais ( Rais Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Masauni
ameungana na ujumbe wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Kassim Majaliwa Majaliwa uliopo nchini Japan Kushiriki maonesho ya Dunia ya
EXPO 2025 Osaka Japan ambapo leo Mei 25, 2025 ni Siku ya Taifa la Tanzania
(Tanzania National Day).

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Rais Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Masauni ameungana na ujumbe wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa uliopo nchini Japan Kushiriki maonesho ya Dunia ya EXPO 2025 Osaka Japan ambapo leo Mei 25, 2025 ni Siku ya Taifa la Tanzania (Tanzania National Day).
Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akiongea akiwa nchini Japan akishiriki maonesho ya Dunia ya
EXPO 2025 Osaka Japan ambapo leo Mei 25, 2025 ni Siku ya Taifa la Tanzania
(Tanzania National Day).

0 Maoni