Dkt. Abbas ashiriki Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Dunia

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Mhe. Dk. Hassan Abbas, Mkurugenzi Mkuu wa TAFORI Dk. Revocatus Mushumbusi wakipata taarifa mbali mbali za Utafiti wa Ufugaji Nyuki kutoka kwa Watafiti wa TAFORI katika siku ya Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani  20, 2025 yanayofanyika katika viwanja vya Chinangali Park, Jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Mhe. Dk. Hassan Abbas, Mkurugenzi wa Idada ya Misitu na Nyuki Wizara ya Maliasili na Utalii Bw. Deusdedit Bwoyo, Mkurugenzi Mkuu wa TAFORI Dk. Revocatus Mushumbusi wakifanya ziara katika mabanda ya taasisi na wajasiriamali wanaotangaza huduma na bidhaa zinazotokana na mazao ya Nyuki kwa ajili ya kubadilishana uzoefu na kupata taarifa kutoka kwa Wataalamu katika siku ya Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani Mei 20, 2025 yanayofanyika katika viwanja vya Chinangali Park, Jijini Dodoma.

Chapisha Maoni

0 Maoni