Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea
Makumbusho ya Rais wa kwanza na Muasisi wa Taifa la Angola, Hayati António Agostinho
Neto katika eneo la Public Square Jijini Luanda, tarehe 08 Aprili, 2025.
Rais Dkt.
Samia amepokelewa kwa heshima ya kijeshi
katika eneo hilo la Makumbusho na kisha
kuweka shada la maua katika Mnara wa
Kumbukumbu wa Rais wa kwanza na Muasisi wa Taifa hilo Hayati
António Agostinho Neto.
0 Maoni