Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira,
Vijana na Wenye Ulemavu na Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, bungeni
jijini Dodoma, Aprili 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Spika
wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu
akiongozwa na Mpambe kuingia
kwenye ukumbi wa Bunge jijini Dodoma kuongoza Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa
Kumi na Tisa wa Bunge, Aprili 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kibiti, Twaha Mpembenwe, bungeni
jijini Dodoma, Aprili 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Dkt. Thea Ntara, bungeni jijini Dodoma, Aprili 8,
2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa
Karagwe, Innocent Bashungwa, bungeni jijini Dodoma, Aprili 8, 2025. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akisalimiana na Simba Jerry Silaa ambaye ni mtoto wa Waziri wa
Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na
Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa (kulia) kwenye viwanja vya Bunge jijini
Dodoma, Aprili 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Maoni