Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na
mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Angola Mhe. Mhe. João Manuel Gonçalves
Lourenço mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Luanda nchini Angola tarehe
08 Aprili, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Luanda nchini Angola tarehe 08 Aprili, 2025.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride
lililoandaliwa kwa heshima yake mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Luanda
nchini Angola tarehe 08 Aprili, 2025.
0 Maoni