Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Jamhuri ya Angola
Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço wakati akihitimisha ziara yake ya
Kiserikali, Luanda nchini Angola tarehe 09 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia historia ya Kiwanda cha
kusafisha Mafuta cha Luanda Oil Refinery wakati akihitimisha ziara yake Jijini
Luanda nchini Angola tarehe 09 Aprili, 2025.

0 Maoni