Waziri Mkuu, Mhe. Kassim
Majaliwa akizungumza jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.
Doto Biteko wakati wa mkutano wa kumi na tisa wa Bunge, Kikao cha tatu April
10, 2025 Jijini Dodoma.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri
wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Wabunge mbalimbali wakati wa
mkutano wa kumi na tisa wa Bunge, Kikao cha tatu April 10,
2025 Jijini Dodoma.

0 Maoni