Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza orodha ya majina ya watu waliopita katika usaili wa kuandika, ambapo sasa wanaitwa kwa ajili ya kufanya usaili wa mazungumzo.
TRA imewataarifu wasailiwa waliofaulu na kuchaguliwa
kushiriki usaili wa mahojiano na vitendo kwamba, ratiba ya usaili huo itatolewa
tarehe 29 Aprili, 2025 kupitia tovuti ya Mamlaka.
Ili kupata orodha ya majina yote bofya link hii hapa chini :-
https://www.tra.go.tz/images/uploads/public_notice/english/MAJINA_YA_USAILI.pdf
0 Maoni