Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 07, 2025 ameshiriki
katika matembezi ya hisani ya kuadhimisha miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania
(TET), jijini Dar es Salaam.
Viongozi wengine walioshiriki matembezi hayo ni Waziri wa
Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Naibu Waziri wa Wizara hiyo
Omari Kipanga na watendaji wengine wa Wizara ya Elimu pamoja nawa Taasisi ya
Elimu Tanzania.
Matembezi hayo yalianzia katika viwanja vya Taasisi ya Elimu
na kuishia katika hiyo.
#KitabuKimoja
#MwanafunziMmoja
0 Maoni