Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde akiongoza kikao cha Menejimenti ya Wizara na Taasisi zake ikiwa ni maandalizi ya kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini. Taarifa hiyo inawasilishwa leo Machi 25, 2025.

Waziri wa
Madini Mhe. Anthony Mavunde akiongoza kikao cha Menejimenti ya Wizara na
Taasisi zake ikiwa ni maandalizi ya kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha
2024/25 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Nishati na Madini. Taarifa hiyo inawasilishwa
leo Machi 25, 2025.

0 Maoni