Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili
ya kuhudhuria hafla ya uapisho wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah
tarehe 21 Machi, 2025. Sherehe hizo pia zitambatana na maadhimisho ya miaka 35
ya Uhuru wa nchi hiyo ambapo Mhe. Rais Dkt. Samia amealikwa kuwa Mgeni Rasmi
katika sherehe hizo.


0 Maoni