Rais Samia apokea hati za utambulisho za mabalozi

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Canada hapa nchini Mhe. Emily Burns Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Machi, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule Uturuki hapa nchini Mhe. Bekir Gezer Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Machi, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Japan hapa nchini Mhe. Mikami Yoichi Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Machi, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Equatorial Guinea hapa nchini mwenye makazi yake Kampala nchini Uganda Mhe. Carmelo Micha Nguema Misi Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Machi, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Thailand hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya Mhe. Morakot Janemathukorn, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Machi, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Tunisia hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya Mhe. Anouar Ben Youssef Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Machi, 2025.

Chapisha Maoni

0 Maoni