Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua maboresho ya mradi wa gati mbili mpya katika Bandari ya Tanga, leo tarehe 01 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua maboresho ya mradi wa gati mbili mpya katika Bandari ya Tanga, leo tarehe 01 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa wakati akikagua maboresho ya mradi wa gati mbili mpya katika Bandari ya Tanga, leo tarehe 01 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyakazi wa Bandari ya Tanga mara baada ya kukagua maboresho ya gati mbili mpya wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 01 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa LPG Terminal GBP Gas Mkoani Tanga tarehe 01 Machi, 2025.
0 Maoni