WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Machi 08, 2025 ni mgeni
rasmi kwenye fainali za mashindano ya kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Afrika
Mashariki na Kati.
Mashindano hayo yanafanyika katika uwanja wa mpira wa miguu
wa Azam, uliopo Chamanzi jijini Dar es Salaam.
Mashindano hayo yameandaliwa na Taasisi ya Mana’hil al Irfan Foundation.
0 Maoni