Majaliwa akagua na kupokea taarifa ya maandalizi ya kuwashwa Mwenge wa Uhuru

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokagua na kupokea taarifa ya maandalizi ya kuwasha Mwenge wa Uhuru Kibaha mkoani Pwani, Machi 30, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Watoto wakifanya mazoezi ya haliki wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokagua na kupokea taarifa ya maandalizi ya kuwasha Mwenge wa Uhuru Kibaha mkoani Pwani,Machi 30, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Ridhiwani Kikwete (kulia) kuagua maandalizi ya kuwasha Mwenge wa Uhuru Kibaha mkoani Pwani, Machi 30, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni