Rais Samia ashiriki Swala ya Eid Msikiti wa Mfalme Mohamed VI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matukio mbalimbali aliposali swala ya Eid El Fitr Kitaifa kwenye Msikiti wa Mfalme Mohamed VI Makao Makuu ya BAKWATA Kinondoni Jijini Dar es Salaam leo Machi 31, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika matukio mbalimbali aliposali swala ya Eid El Fitr Kitaifa kwenye Msikiti wa Mfalme Mohamed VI Makao Makuu ya BAKWATA Kinondoni Jijini Dar es Salaam leo Machi 31, 2025.

Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa nao walishiriki swala ya Eid El Fitr Kitaifa kwenye Msikiti wa Mfalme Mohamed VI Makao Makuu ya BAKWATA Kinondoni Jijini Dar es Salaam leo Machi 31, 2025.

Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa kwenye Msikiti wa Mfalme Mohamed VI Makao Makuu ya BAKWATA Kinondoni Jijini Dar es Salaam wakati wa ya Eid El Fitr Kitaifa iliyofanyika kwenye msikiti huo leo Machi 31, 2025.

Chapisha Maoni

0 Maoni