Rais Samia awataka watumishi wa umma kutimiza wajibu wao

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Halmashauri ya Mji Handeni ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi Mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025.




Chapisha Maoni

0 Maoni