Rais Samia akizungumza na wananchi wa Muheza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na  wananchi wa Muheza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM Jitegemee katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 27 Februari, 2025.

Shamrashamra za Wananchi wa Muheza ambao walihudhuria mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa CCM Jitegemee Muheza mkoani Tanga tarehe 27 Februari, 2025.

Chapisha Maoni

0 Maoni