Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mtendaji Mkuu
wa Benki ya NMb, Bi. Ruth Zaipuna, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini
Dodoma, Januari 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mtendaji Mkuu
wa Benki ya NMb, Bi. Ruth Zaipuna, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini
Dodoma, Januari 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja
na Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna baada ya mazungumzo, ofisini
kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 21, 2025. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja
na wafanyakazi wa Benki ya NMB baada ya mazungumzo ofisini kwa Waziri Mkuu,
Mlimwa jijini Dodoma, Januari 21, 2025. Watatu kushoto ni Mtendaji Mkuu wa
benki hiyo, Bi. Ruth Zaipuna. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 Maoni