Dkt. Nchimbi kufanya ziara ya kikazi nchini Ethiopia

 

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ataongoza ujumbe wa CCM katika ziara ya kikazi nchini Ethiopia kuanzia leo Januari 29 hadi 31 2025, kwa mwaliko wa Chama tawala cha Ethiopia, Prosperity Party.



Chapisha Maoni

0 Maoni