Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akilicharaza gita la bass

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha uwezo wake wa kulicharaza gita la Bass alipokabidhi vifaa vya muziki vyenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa  Mkurupuko Jaz Band ya Mbekenyera wilayani Ruangwa katika mkutano uliofanyika kijijini Mbekenyera wilayani humo jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Abdallah Bakari gita la Bass wakati alipokabidhi vifaa vya muzikivyenye thamani ya shilingi milioni 20  kwa  Mkurupuko Jaz Band ya Mbekenyera wilayani Ruangwa katika mkutano uliofanyika kijijini Mbekenyera wilayani humo, Desemba 29, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia midundo ya gita la bass lililokuwa likicharazwa na  Abdallah Bakari wakati alipokabidhi vifaa vya muziki vyenye thamani ya shilingi milioni 20  kwa  Mkurupuko Jaz Band ya Mbekenyera wilayani Ruangwa katika mkutano uliofanyika kijijini Mbekenyera wilayani humo, Desemba 29, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Wasanii wa  Mkurupuko Jaz Band ya Mbekenyera wilayani Ruangwa wakitumbuiza wakati  Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa alipokabidhi vifaa vya muziki vyenye  thamani ya shilingi milioni 20 kwa bendi hiyo katika mkutano uliofanyika kijijini Mbekenyera wilayani humo, Desemba 29, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni