Rais Samia kuongoza kuaga mwili wa Dkt. Ndugulile

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2024 kuwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile.

Chapisha Maoni

0 Maoni