Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi, katika fainali za Jimbo Cup,
zilizofanyika kwenye uwanja wa Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi, ambapo Kiwengwa
FC ilishinda kwa penati goli 4-1 dhidi ya Stand FC, Novemba 26, 2024. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishuhudia fainali za Jimbo Cup, zilizofanyika kwenye uwanja wa Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi, Novemba 26, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa akimkabidhi kikombe Nahodha wa Kikosi cha Kiwengwa FC Yahaya
Abdallah Khamis, katika fainali za Jimbo Cup, zilizofanyika kwenye uwanja wa
Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi, ambapo Kiwengwa FC ilishinda kwa penati goli
4-1 dhidi ya Stand FC, Novemba 26, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa akimkabidhi jezi na minira Nahodha wa Kikosi cha Stand FC Abdul
Patrick Shishimbi, katika fainali za Jimbo Cup, zilizofanyika kwenye uwanja wa
Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi, ambapo Kiwengwa FC ilishinda kwa penati goli
4-1 dhidi ya Stand FC, Novemba 26, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja Kikosi cha Kiwengwa FC ambao ni mabingwa wa Jimbo Cup 2024, kwenye fainali zilizofanyika kwenye uwanja wa Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi, ambapo Kiwengwa FC iliibuka mshindi kwa penati ya goli 4-1 dhidi ya Stand FC, Novemba 26, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Maoni