Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Msikiti wa Al Ghaith uliopo eneo la Kilakala Flats, Mkoani Morogoro tarehe 25 Novemba, 2024.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na
viongozi wa dini wakati alipowasili kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi la
ujenzi wa Msikiti wa Al Ghaith uliopo eneo la Kilakala Flats, Mkoani Morogoro
tarehe 25 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelekezo ya muonekano wa msikiti huo ambao ameweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Msikiti wa Al Ghaith uliopo eneo la Kilakala Flats, Mkoani Morogoro tarehe 25 Novemba, 2024.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua ujenzi
wa Msikiti wa Al Ghaith uliopo eneo la Kilakala Flats, Mkoani Morogoro, ambao ameweka
Jiwe la Msingi la ujenzi leo tarehe 25 Novemba, 2024.
Baadhi ya
waumini waliohudhuria hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Msikiti wa Al
Ghaith uliopo eneo la Kilakala Flats, Mkoani Morogoro, ambao umefanywa na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 25
Novemba, 2024.






0 Maoni