Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya Ziara ya Kikazi
Mkoani Arusha, leo tarehe 27 Novemba, 2024.
Viongozi wa
dini, wadau wa utalii pamoja na wageni kutoka maeneo mbalimbali wakiwa katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kumsikiliza Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 27
Novemba, 2024.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
viongozi wa dini, wadau wa utalii pamoja na wageni mbalimbali waliofika kumpokea
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tarehe 27 Novemba,
2024.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika
picha ya pamoja na watoto wakati wa mapokezi yake katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tarehe 27 Novemba, 2024.
0 Maoni