Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kwa
ajili ya kuchagua viongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika kitongoji
cha Sokoine, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27 Novemba, 2024.
Rais Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye foleni ya kupigia kura katika Kituo cha kupiga kura kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma.
0 Maoni