Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa leo Novemba 10, 2024 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu
Hassan katika Mkutano Mkuu na Kongamano la Umuhimu wa Amani kuelekea Uchaguzi
wa Serikali za Mitaa.
Kongamano hilo
linaloratibiwa na Jumuiya ya Waislamu wa SHIA Tanzania, linafanyika katika
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
0 Maoni