Mjumbe wa
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akivalishwa skafu
na Kijana wa Hamasa na Itifaki Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa
Mara, Godwin Gudluck Bunyoga wakati wa mapokezi alipowasili Mkoani Mara kwa
ajili ya uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mkoa wa
Mara uliofanyika Novemba 20, 2024 katika uwanja wa nyangoto Stendi - Nyamongo
Wilaya ya Tarime.
Mjumbe wa
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na
viongozi wa CCM alipowasili Mkoani Mara kwa ajili ya uzinduzi wa Kampeni za
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mkoa wa Mara uliofanyika Novemba 20, 2024
katika uwanja wa nyangoto Stendi - Nyamongo Wilaya ya Tarime.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akipokelewa alipowasili Mkoani Mara kwa ajili ya uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mkoa wa Mara uliofanyika Novemba 20, 2024 katika uwanja wa nyangoto Stendi - Nyamongo Wilaya ya Tarime.

0 Maoni