Waziri Mkuu Majaliwa awasili nchini Tanzania

  

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda, wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Octoba 01, 2024. Waziri Mkuu alitokea New York nchini Marekani, ambapo alimwakilisha Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79). (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Octoba 01, 2024 wakati akitokea New York nchini Marekani, ambapo alimwakilisha Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79). (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni