Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa
Mataifa, António Guterres walipofanya mazungumzo kwenye Ofisi za Makao Makuu ya
umoja huo, New York Nchini Marekani Septemba 21, 2024.Mheshimiwa Majaliwa yupo
nchini humo kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).
Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha wageni wakati alipofanya mazungumzo na
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres kwenye Ofisi za Makao Makuu
ya umoja huo, New York Nchini Marekani Septemba 21, 2024.Mheshimiwa Majaliwa
yupo nchini humo kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa
79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).
0 Maoni