Mhe. Kitandula aanza ziara ya siku tatu Serengeti

 

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dunstan Kitandula (Mb) leo Septemba 18, 2024 ameanza ziara ya kikazi ya siku 3 katika Hifadhi ya Taifa Serengeti.

Lengo la ziara ni kukagua miundombinu ya barabara pamoja na huduma za utalii katika Hifadhi ya Taifa Serengeti.

Mhe. Kitandula amepokewa na Kamishna wa Uhifadhi TANAPA, Musa Juma Kuji, pamoja na Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Serengeti.



Chapisha Maoni

0 Maoni