Matukio ya Waziri Mkuu Majaliwa Bungeni leo

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Catherine Magige, Bungeni jijini Dodoma Septemba 2, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Afya Jenista Mhagama, Bungeni jijini Dodoma Septemba 2, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini, Assa Makanika, Bungeni jijini Dodoma Septemba 2, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro, Bungeni jijini Dodoma Septemba 2, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni