Majaliwa amwakilisha Rais Samia Baraza la Maulid Geita

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 16, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid yanayofanyika kitaifa mkoani Geita kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Baraza la Maulid Kitaifa lililofanyika kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Nyankumbu, Geita, Septemba 16, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 16, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid yanayofanyika kitaifa mkoani Geita kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu.

Chapisha Maoni

0 Maoni