Rais Samia azindua utalii wa Kasa Pango la Salaam

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la jengo wakati akizindua Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam, Kizimkazi Dimbani mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 24 agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria kuzindua Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam, Kizimkazi Dimbani mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 24 agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam, Kizimkazi Dimbani mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 24 agosti, 2024.



Chapisha Maoni

0 Maoni