Rais Samia azindua rasmi usafiri wa treni ya SGR

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi baada ya kuzindua jiwe la msingi wakati wa uzinduzi rasmi safari za treni ya kisasa SGR na miundombinu ya reli hiyo kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma leo August 01, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akipiga makofi pamoja na viongozi mbalimbali akiwamo Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi wakati wa uzinduzi rasmi safari za treni ya kisasa SGR na miundombinu ya reli hiyo kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma leo August 01, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua jengo la stesheni ya reli ya SGR wakati uzinduzi rasmi safari za treni ya kisasa SGR na miundombinu ya reli hiyo kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma leo August 01, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na watu mbalimbali wakati uzinduzi rasmi safari za treni ya kisasa SGR na miundombinu ya reli hiyo kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma leo August 01, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni